Ravalomanana
JF-Expert Member
- Sep 8, 2018
- 1,557
- 1,540
Uliwahi kua na mabwana wawili wakati mmoja ni yupi kati ya waleNipakuliwe kwani mm chakula?
We huna tofauti na kidukulilo sound nyingiSiku ya jana nimekua engaged. I'm so happy and so is my family. Nahisi kama sipo juu ya dunia nahisi nimeingia ndani ya dunia kwa furaha niliyo nayo. I can talk about it forever.
Nataka niweke hata picha ya mkono lakini naogopa. Nina furaha sana leo.
Huku kuna wachawi , hadi wengine wameamua kujitangaza kabisa.Kwann? Au Watu wa jamii forums wataniroga?
basi una utoto....Ningekuwa mtoto nisinge kuwa engaged. Wacha matusi
Sasa hpa kuna madhara gani? Kuwa engaged ni madhara?
Hawezi. tumetoka mbali sna
Na mtaachana tuSiku ya jana nimekua engaged. I'm so happy and so is my family. Nahisi kama sipo juu ya dunia nahisi nimeingia ndani ya dunia kwa furaha niliyo nayo. I can talk about it forever.
Nataka niweke hata picha ya mkono lakini naogopa. Nina furaha sana leo.