Hatimaye nimefanikiwa kuacha pombe

Una muda gani tokea uache???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh, polee kumbe ungekua tajiri sana, sasa kama umeshajua hizo losses, amua kutoka moyoni kuacha na ule upande mwingine wa kuchovya achana nao pia, jikeep busy na biashara zako + mambo mengine positive, hudhuria kanisani au msikitini kuna mafunzo kule, punguza kampani ya marafiki wanywa pombe wanashawishi sana. Spend muda wako na familia kama unayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pombe haiachwi kizembe hivyo! Hongera lakini.
 
Hongera hata mimi nimefanikiwa kuacha pombe hapa nilipo nakunywa bia za kujipongeza kwa kuweza kuacha pombe. Karibu ndugu yangu tunywe bia za kujipongeza kuacha pombe.


Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3], sasa umeacha pombe zipi hizo mkuu, au ulikua unatupia ma konyagi tupu, so kunywa bia unahisi ni juice tu[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KUACHA N UAMUZI
MPEPOLEMAMA MUNGU ANANJIA ZA KUKURUDISHA KWAKE UMJUE ZAIDI NA PENGINE UOKOE NA WALEVI WENZIOO KUPITIA HILI
 
 

Attachments

  • FB_IMG_1583736199221.jpg
    78.1 KB · Views: 17
  • FB_IMG_1583736118207.jpg
    13.6 KB · Views: 15
  • FB_IMG_1583735905387.jpg
    9.7 KB · Views: 17
ANAEJUA GUAVA
PENDASANA KULA HILITUNDAA UTAACHA AUTOMATIC
 
JINSI YA KUAVHA POMBE ZINAA
 

Attachments

  • VID-20200306-WA0038.mp4
    1.7 MB
MKUU WA KITENGO CHA SAIKOLOJIA MRANGI
NJOOHUKU TUMPIME ANAPUMZIKA AMA KIMOJA
 
Mi nimewahi kuacha hata dili za hela zilikata, Nikaona isiwe tabu.
Mwezi huu tena nilitaka nipumzike mwezi kuanzia tar 01, cha ajabu siku ya pili tu tumekunywa kuanzia asubuhi hadi saa nne usiku.
Mpaka hapa nikiwa na akili timamu bila kushauriwa na mtu, nasema nitakunywa bia labda breweries wafirisike maana hizi pombe nyeupe kama maji siziwezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…