Shujaa Nduna
JF-Expert Member
- Sep 8, 2022
- 599
- 487
Si kila wakati kulaumu tu wakati mwingine kupongeza. Nimefanikiwa kupata mbolea kwa idadi ya heka nilizojiandikisha.
Usumbufu mdogo ni foleni tu ambapo ilinichukuwa siku 3 tofauti kufanikiwa kupata mbolea zote.
Kule kwenye usumbufu zaidi taratibu ziwekwe sawa ili kuwawezesha wasiynpata wapate kwa wakati.
Asante