Shujaa Nduna
JF-Expert Member
- Sep 8, 2022
- 599
- 487
kuna mambo yanaamuliwa na binadam na mengine yapo nje,nijuavyo si maeneo yote hupata mvua kwa wakati mmoja.Tuiombe serikali ya awamu ya sita ituwahishie mvua. Serikali yetu ni sikivu
Bora uje kula bure si kukopaMkuu hongera sana
Tumia vizuri hiyo mbolea na fuata maelekezo ya wataalamu hili upate mazao mengi.
Ukivuna nitakuja kukopa kwa bei nitakayopanga mimi.
Upo Mkoa gani mkuu?Si kila wakati kulaumu tu wakati mwingine kupongeza. Nimefanikiwa kupata mbolea kwa idadi ya heka nilizojiandikisha.
Usumbufu mdogo ni foleni tu ambapo ilinichukuwa siku 3 tofauti kufanikiwa kupata mbolea zote.
Kule kwenye usumbufu zaidi taratibu ziwekwe sawa ili kuwawezesha wasiynpata wapate kwa wakati.
Asante