Hatimaye nimefika kwa mara ya kwanza Daraja la Kijazi

Hatimaye nimefika kwa mara ya kwanza Daraja la Kijazi

Nimetimiza ndoto yangu nimefika juu kabsa kwenye daraja la kijazi inter change kipindi nko Lushoto ilikua ndoto yangu nikikanyaga Dar es Salaam kwa mara ya kwanza tu moja kwa moja niende daraja la kijazi ndoto yangu imetimia.
Mgosi ukishuka ogelea kwenye mto kijazi ukifika baharini kata kushoto hiyo ni moja kwa moja mpaka dipusii Tanga...
 
Mgosi ukishuka ogelea kwenye mto kijazi ukifika baharini kata kushoto hiyo ni moja kwa moja mpaka dipusii Tanga...
Naama mgosi week ijayo naenda koko beach mana napasikiaga afu niende na kidimbwi napo nikashangae kidogo wanasema kuna watoto wazuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera. Kwahiyo una ndoto nyingine au ndio hiyo hiyo?
Ndoto nyingne nataka niende kidimbwi mana wanapasifiaga sana kwenye hizi nyimbo na niende koko beach dadaangu unaweza hata ukawa mwenyeji wangu pia maana sio mwenyej knsa hili jiji la panya rodi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom