fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
Mgosi ukishuka ogelea kwenye mto kijazi ukifika baharini kata kushoto hiyo ni moja kwa moja mpaka dipusii Tanga...Nimetimiza ndoto yangu nimefika juu kabsa kwenye daraja la kijazi inter change kipindi nko Lushoto ilikua ndoto yangu nikikanyaga Dar es Salaam kwa mara ya kwanza tu moja kwa moja niende daraja la kijazi ndoto yangu imetimia.
Bangi kivipi mkuu wakati ni furaha nimetimiza ndoto yanguHizo bangi unanunuaga wapi?
Bado nna ndoto nyngne kesho nataka niende pale daraja alozindua magufuli ubungokwahiyo sasa unaweza kupumnzaika kwa amani(kufariki)
Naama mgosi week ijayo naenda koko beach mana napasikiaga afu niende na kidimbwi napo nikashangae kidogo wanasema kuna watoto wazuriMgosi ukishuka ogelea kwenye mto kijazi ukifika baharini kata kushoto hiyo ni moja kwa moja mpaka dipusii Tanga...
Ndoto nyingne nataka niende kidimbwi mana wanapasifiaga sana kwenye hizi nyimbo na niende koko beach dadaangu unaweza hata ukawa mwenyeji wangu pia maana sio mwenyej knsa hili jiji la panya rodiHongera. Kwahiyo una ndoto nyingine au ndio hiyo hiyo?
Hahahahah hapana ila ni mdoto yangu kufka darajaNiKisa msambaa mwenzio
Kwann unasema hvoUmepona kuibiwa kweli
Wananiita mi bishoo yeah bishoo haswaaahYeeesss bishooo haswaaaa