Hatimaye nimejisajili JamiiForums

cheetah255

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2017
Posts
1,376
Reaction score
2,393
Nimekuwa mfuasi mzuri sana wa jamiiforum kwa muda wa miaka mitano sasa ila sikuwa na uwezo wakuchangia mada na kuweka nyuzi kwakuwa sikua msajiliwa humu jana nimechukua maamuzi ya kujiunga na kuwa mmoja kati ya watu takribani laki nne wanao tumia mtandao maashuhuri wa jamii wenye malengo chanya kwa jamii ninayo furaha sana kujiunga nanyi nasema hodiii!!!!
 
Hauhitaji karibu wewe ni mwenyeji kabisa,tuendelee kulisongesha tu. [emoji20]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…