Hatimaye nimejiunga na mtandao mkubwa wa jamii forums

Mbuna

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
269
Reaction score
71
Nimefurahi sana leo kuweza kujiunga jamii forums kwani ni siku nyingi sana nilitamani kuwa member wa jamii forum na leo ndoto yangu imetimia
 
karibu karibu mkuu mbuna pitia jf rules.
 
Asante nimeshazipitia Rules zote mkuu

vizuri mkuu sasa waweza kuchagua jukwaa lolote unalopenda kama unapenda sisa,michezo,muziki,elimu,mambo ya kimataifa,vichekesho na utani ,dini na imani etc yapo mengi angalia usitumie matusi kunakitu kinaitwa ban ama kifungo utolelewa na moderators otherwise kila la kheri na karibu tena
 
hivi watendaji wa manispaa ya kinondoni mna tatizo gani?mbona mmeshindwa kubadili madaraja ya walimu toka 2012 pamoja na kutoa barua za aina mbili zisizo na tija,subirini dawa yenu ipo jikoni na muda wowote mtaipokea
 
Nimefurahi sana leo kuweza kujiunga jamii forums kwani ni siku nyingi sana nilitamani kuwa member wa jamii forum na leo ndoto yangu imetimia

na kuna jukwaa linaitwa mambo ya kikubwa!
18+..
 
Nimefurahi sana leo kuweza kujiunga jamii forums kwani ni siku nyingi sana nilitamani kuwa member wa jamii forum na leo ndoto yangu imetimia
Pita ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…