Hatimaye nimempata anayenipenda, naye ananipenda! Aisee, love is a beautiful thing

Hatimaye nimempata anayenipenda, naye ananipenda! Aisee, love is a beautiful thing

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Aisee nimekamatika mpaka jana nikatoroka, na leo nimesingizia naumwa ili niwe nae nisiende ofisini. Mimi ni mchapakazi sana na mara ya nyingi ni wa mwisho kuondoka ofisi, lakini naona mapenzi yataenda kufanya kibarua chagu kiote nyasi

Mahusiano haya yenye mwezi sasa yanazidi kunibadilishia misingi ya maisha. Nampenda huyu kijana na sikuwahi kudhani nitasalimu amri kwa mtu kiasi hiki.

Ananipenda sana na kadri siku zinavokwenda hatupoi. Nifanyaje mambo yasibadilike huko mbeleni na kibarua changu kisije kuota nyasi?
 
Ukute mtu anaota na kujifariji, hapo tangu asubuhi hata Good morning ya Tigo hajapokea
 
Ni mapema sana kumjua anekupenda kwa dhati take time umfahamu

Mwanzo mwanzo mapenzi matamu balaa my dia jitahidini wote mmeintain hivohivo!

Kila la kheri

cc Smart911
 
Hongera Mrembo.

20240217_162510.jpg

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Kwahiyo naenda kupigwa na kitu kizito?😥😥
nakupa mbinu, jitahidi sana kumantain lovely stastus yako isichuje ili umu win yeye.
kuna mwenzio kanifanyia iyo mbinu nampiga matukio mara chache na akisusa namtafuta coz ana mavitu pengine sipati.
 
Nilivyosoma Heading Tu Nikasema Uzi Utakuwa Umeletwa Na 'Ke'.

Maana Katika Hii Dunia Nyie Ndio Mnaweza Kusifia Upendo Na Mahusiano.

Acha Niwape Heshima Yenu.
 
Kula raha, ndio wakati wako huu, ukipata nafas ya kuejoy tumia ipasavyo.
 
Aisee nimekamatika mpaka jana nikatoroka, na leo nimesingizia naumwa ili niwe nae nisiende ofisini. Mimi ni mchapakazi sana na mara ya nyingi ni wa mwisho kuondoka ofisi, lakini naona mapenzi yataenda kufanya kibarua chagu kiote nyasi

Mahusiano haya yenye mwezi sasa yanazidi kunibadilishia misingi ya maisha. Nampenda huyu kijana na sikuwahi kudhani nitasalimu amri kwa mtu kiasi hiki.

Ananipenda sana na kadri siku zinavokwenda hatupoi. Nifanyaje mambo yasibadilike huko mbeleni na kibarua changu kisije kuota nyasi?
Mapenzi karibia yote huanza hivyo hivyo

Je mtaweza kushikilia Bomba?

Hapo ndipo kwenye mtihani
 
Back
Top Bottom