The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Niko Bongo mkuu. Hapa Dar es Salaam.Uko nchi gani mkuu, maana hizo version wanatoa kulingana na nchi, kwa mfano kama China na India mara nyingi wanakua wanapata wao mwanzo hizo updated
Sent using Jamii Forums mobile app
Samsung s10+Na hio ni Samsung toleo gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Samsing s10+
Ndio mkuu.
Wale watumiaji wa Android os, leo nimefanimiwa kuupdate kwenda android 10 kutoka android 9(pie).
Nimeona tu kwenye simu yangu notification ya new software updates.
Bado sijaanza kuifurahia ila mwanzo tu naona iko poa.
View attachment 1289967
Amna s series ya double line mkuu
Achana na mataahira hayo mkuu. Yamezoea tecno yanajuaje bei ya simu za milioni 2 na ushee?
Umezoea tecno za laki 2, utajuaje bei ya simu za milioni 2 na ushee? Stay in your lane idiot.Amna s series ya double line mkuu
Umezoea tecno, simu kubwa kama hizi huwezi kujua. Endelea kutumia tecno mama angu, haya ambayo huyajui yaache.Hahahahaha samsung s 10+ double line
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu s10+ dual. Nenda kwenye software updates kama simu yako ni unlocked utapata updates.Mkuu simu gani unatumia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu s10+ dual. Nenda kwenye software updates kama simu yako ni unlocked utapata updates.
Hatuwapondi sema wanakuja mataahira hapa kubisha jambo wasilolijua na kujifanya wanajua.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji28][emoji38]mtuponde tu ila binafsi simu yangu toka nianze kumiliki simu sijawahi zidisha 450K [emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
KIAZI MBATANI π π π π πyaani mleta mada anapewa sapot nae anajiona bonge la genius kumbe kiazi mbatata tuu