Hatimaye nimepata Android 10 kwenye Samsung

Mkuu msaada wako tafadhali wa ku upgrade samsung j1 ace kitkat kwenda lollipop 5.0
 
Nimefanikiwa ku-update yangu j.mosi,nilikuwa sina kifurushi tokea J.3 iliopita.Naona simu imekuwa fast na performance in general ni zuri...
 
Ndiyo mkuu
Boss nimeangalia hio model ni ya nchi hizi

Galaxy J1 Ace SM-J110H/DS Dual-Sim (3G)
Countries or regions available:

Saudi Arabia, Kazakhstan, Egypt, United Arab Emirates, India, Pakistan

Kwahio kupata update kwa Africa hasa east africa ni ngumu.

wanatoa update kwa kuangalia model ya simu katika zone husika.
 
Kwahiyo hakuna namna kabisa bro maana version mpya ya Jf app inahitaji angalau android 5
 
Nasubiri mirejesho ya kutosha..
Update nyingi za MWANZO zinaleta Matokeo mabaya kwenye battery life..

Hao waliokua wanakazania hamna s-series zenye laini mbili, wanaishi wapi?
Mkuu nimesha update kwenda android 10.nazidi kuipenda simu yangu aisee imekuwa very smooth.dark mode imenivutia kwa kweli.betri kwangu nzuri zaidi.yale malalamiko ya wadau kwamba betri inawahi kwisha kwangu hakuna kabisa yaani kila kitu kipo improved.fast charge ipo vzr pia.hope watakuwa walifanyia marekebisho baada ya kupata maoni ya wadau.nimeweka na gcam picha zinatoka hadi unahisi zinapigwa na canon [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Gcam umewekaje mkuu,nipe huo ujanja pls...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hapo kweny gcamer tueleweshe tuweke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…