Hatimaye nimepata wa kunituliza, hivi sasa mimi ni "Miminimama wa Tajiri"

Eti wanasema ni pesa zako tu zinanichanganya.
Unaliongeleaje hili?
Wadangaji siku zote hawachelewi kusema umenipendea Pesa,mimi nasema Siri ya mtungi aijuaye kata,
Hahahaha hao kata hawajaingia mtungini hawaezi elewa hii kitu.
Acha wakae seat za nyuma,wajifunze mapyaaa. hapo ndo kwanza January ikifika december mbona watanuna.
 
Yaani dada nakuelewa vizuri Sana
 
Nasema hivi mtaachana tuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Asante kwa kuniumizA
 
kwamba mnatufokea sio?
 
Reactions: 1gb
Gosh, you are literally the luckiest woman in the entire world.
This is so wholesome. OMG, what a sweet guy.

Dear OP, I am genuinely happy for you.Wish you guys all the best.
Thank you for sharing.
Sorry for late reply dear.
Your such a beautiful soul.
Be blessed.

Thanks so much.
 
Ahsante tajiri wangu.
 
Reactions: 1gb
Hakikisha unaenjoy kila dakika bibie,waja wana wivu na roho mbaya..Peaneni mapenz yote kwa raha zote.Hakikisha unajispoil na litajiri lako mwaya..Nyoo nani anapenda umaskini jaman lol.!Unafki tu umejaa hawa wanaokupondea,wasikuvunje moyo na G wako.
 
Nitazingatia hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…