Hatimaye nimerudi kwenye mshahara wangu wa laki 4 kwa mwezi


Biashara inahitaji kujibana..wengine hatujazoea maisha ya kujila ganji
 
Umefanya vizuri kurudi kazini baada ya Hussle ya muda kidogo, ila usifurahie kufeli biashara, tumia muda huo kufikiria wapi na nini kilikufelisha, save pesa kidogo kidogo then rudi tena kwenye biashara huku unafanya kazi.

Hamna biashara iliyosimama bila changamoto kama hizo
 
.............................Ungeendelea na utafiti wako kidogo ungegundua hao wenye hizo nyumba wengi wao elimu zao vichwani ni za kuunga unga.

Elimu ni nzuri tatizo lake kubwa inazubaisha akili ya mwenye nayo eg;ona hapa mtu anayejiita ana elimu anashangilia kulipwa 400K kwa mwezi,yaani hela ambayo asiye msomi anaikunja kwa siku au siku mbili yeye anashangilia kuipata baada ya siku 30 na samahani nyiingi na kujipendekeza huko ofisini.
 
Biashara sio rahsi Mzee , inahtaji ukaze hasa , hata kariakoo hapo watu wanalose lot of million every day, na ni wachache Sana wanaotoboa mixer na mauza uza kibao , we acha tu
 
Nina kibiashara nimefungua toka February 15,hakijaingiza chochote,mashine zinakufa kufa inabidi nizame kwenye akiba ninunue,wacha nikomae miez 6,kisipolipa narudisha frem,mashine zote naweka ghetto
 
Ulipaswa ulie, na kwenda kutubu kwa kurudia matapishi yako. Mtu yoyote, aliyetia jembe lake kulima kisha akageuka nyuma hafai.
 
Uliposema hutaki kuumiza kichwa ndio mwanzo wa tatizo lako kutofanikiwa kwenye biashara

Nilishafanya hivyo kwa almost two years lakini imeshindikana..najua ata hivi life litaenda tu..
 
Ulipaswa ulie, na kwenda kutubu kwa kurudia matapishi yako. Mtu yoyote, aliyetia jembe lake kulima kisha akageuka nyuma hafai.

Nimeyarudia lakini nahisi bado yapo fresh kabisa kuingia tena kinywani…unaeniambia hivyo utadhani wewe una maisha mazuri kumbe unashinda mitandao ya kijamii..mwenzio saivi nmetosha kushika posho tayari ya weekend..na kesho hamna kazi..juzi nimepokea laki nne mfukoni [emoji23][emoji23]
 
huo mshahara wewe ni huse girl/boy wa nani vile? thinking ya watu wengi ni ya kimasikini saana , Poleni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…