Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Private
Unajifanya unajuua maisha ya mtoa mada kuliko yeye muhusika!Tatizo mtu anataka afungue biashara na apate faida mwaka wa kwanza tu
Biashara inataka uwekezaji wa maana ukifikiria je unaweza kumudu kodi miaka 3 ya kwanza? Na pia ukawa na stock ya uhakika?
Una bidhaa 10 kila bidhaa box 10 unajiita wholesaler really
Halafu humo humo uhonge na ulewe
Biashara sio kwa kila mmoja jamani
Wengine tumeanza kuziona tangu utotoni na kukua na hela na kuwa na urafiki wa karibu na hela
Yaani unahakikisha zinakuwa nyingi ili ziwe familia kubwa ya hela [emoji23]
Sasa kila ukiangalia zinapungua ujue wewe hela hazikupendi na wewe huzipendi period
Bora kua mtumwa lakini sio kwa kupigika kule ..ndo maisha niliochagua..
Ilituchukua miaka mitano ya changamoto nyingi kuisimamisha biashara ya day care center.. Sasa hivi tumeajiri watu watanoDuuuh unachekelea kurudi kwenye utumwa
Biashara mpaka isimame sio kitu cha mwezi au mwaka mmoja
Ilinichukua miaka minne kuisimamisha japo ni kweli niliangusha biashara zangu na kukumbiwa na wafanyakazi mpaka kuamua mimi au mke tu ndio tusimamie
Hapo ikaleta matunda, nakushauri japo umerudi kazini ila tengeneza misingi mkuu ya biashara zako kuna kukosa nguvu mbeleni kwenye fainali
Tena usipende sehemu za bure bure ubongo unalala
Asante
Haaa haaaa....
Unajifanya unajuua maisha ya mtoa mada kuliko yeye muhusika!
Mshukuru sana mkeo bila yeye ungefunga biashara.Duuuh unachekelea kurudi kwenye utumwa
Biashara mpaka isimame sio kitu cha mwezi au mwaka mmoja
Ilinichukua miaka minne kuisimamisha japo ni kweli niliangusha biashara zangu na kukumbiwa na wafanyakazi mpaka kuamua mimi au mke tu ndio tusimamie
Hapo ikaleta matunda, nakushauri japo umerudi kazini ila tengeneza misingi mkuu ya biashara zako kuna kukosa nguvu mbeleni kwenye fainali
Tena usipende sehemu za bure bure ubongo unalala
Asante
Biashara ni kipaji! Biashara inahitaji akili kubwa na matumizi mazuri ya fursa zinazo kuzunguka! Biashara haitaki maigizo! Siyo kila mtu kazaliwa na karama ya kuwa mfanyabiashara.
Unamuona jirani yako anasafirisha nyanya kupeleka mjini, na wewe unakurupuka na wewe kusafirisha nyanya hizo hizo kupeleka mjini!
Lazima uangukie pua. Maana utakuwa hujafanya utafiti wowote ule wa hiyo biashara.
All the best kwa kurudi utumwani. Binafsi nipo kwenye maandalizi kabambe ya kuachana na huu utumwa wa kuajiriwa! Na naamini sitokuja kuyajutia maamuzi yangu.
Tatizo mtu anataka afungue biashara na apate faida mwaka wa kwanza tu
Biashara inataka uwekezaji wa maana ukifikiria je unaweza kumudu kodi miaka 3 ya kwanza? Na pia ukawa na stock ya uhakika?
Una bidhaa 10 kila bidhaa box 10 unajiita wholesaler really
Halafu humo humo uhonge na ulewe
Biashara sio kwa kila mmoja jamani
Wengine tumeanza kuziona tangu utotoni na kukua na hela na kuwa na urafiki wa karibu na hela
Yaani unahakikisha zinakuwa nyingi ili ziwe familia kubwa ya hela [emoji23]
Sasa kila ukiangalia zinapungua ujue wewe hela hazikupendi na wewe huzipendi period
Unayajua maisha ya mtoa mada vizuri sana ..