Natambua wengi wetu hili zoezi lilitupa uvivu kweli na bado mpo ambao hamjatimiza takwa hili la Serikali, niwahimize tu tujitahidi kutumia hizi siku chache zilizosalia kukamilisha zoezi hili ili tusiwakwaze wakuu wetu.
Pia nichukue fursa hii kuwapongeza halotel kwa kutoa ofa ya 1GB kwa mteja baada ya kukamilisha usajili huu.