Hatimaye nimeweza kuondokana na addiction ya JamiiForums

Hatimaye nimeweza kuondokana na addiction ya JamiiForums

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Niliijua JamiiForums 2013 wakati nimemaliza mafunzo ya JKT. Nilikuwa nikifukuzia ajira za majeshi na idara za ulinzi. Sasa wakati naandika jambo google nikajikuta nimeletwa JF. Nilishangaa sana kuona kitu amazing.

Kwakweli JF iko vizuri, nikawa napata updates za ajira mbalimbali , taarifa za usaili na kuitwa kazini. Kipindi hicho natumia TECNO T340 nadhani.

JamiiForums na Mimi. Nimetumia I'd tofauti kama 4 vile mpaka sasa ingawa hii ya 4 nabadili jina tu.
JF iko poa.

Yaani kila sekunde niko JF nikitulia niko Facebook. Hiyo ndio mitandao yangu pendwa. Huko kwingineko naingia kwa bahati mbaya tu , yaani itokee kuna taarifa na hakuna namna nyingine ya kuipata mpaka huko ndipo nitaingia.

Wiki hii nimeanza kutumia Facebook kwa faida, naandaa maudhui napost , niko stage nzuri, natumaini nikitimiza siku 28 taanza kulipwa.

Hili jambo plus betting ndivyo vimenifanya addiction ya JamiiForums iondoke.

Niko busy kusaka pesa mtandaoni.

Pesa iko mtandaoni.
 
Back
Top Bottom