Hatimaye nimeweza kupiga miluzi

Namba 26

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2018
Posts
309
Reaction score
918
nilikuwa naonaga wivu sana nikionaga watu waapiga miluzi kila nikijaribu siwezi

mpo disco zinapigwa ngoma Kali unasikia wahuni wanapiga miluzi Pye pyeeeeeee mpaka raha ila nikirajibugi siwezagi
ASA ivi naweza napiga miluzi balaa nimekuwa masta miluzi
Wananikoma ngoma nikipata vibe ni mwendo wa miluzi tu
 
Ila usisahau kuna ushuzi unalia kama mluzi isije kuwa ulitoa ushuzi ukajua umepiga mluzi
 
Fanya ile kitu nafasi inapenda!
 
What is the point of your useless thread my child?
 
Wanaume wote wanajua kupiga mluzi, sema tu ulikuwa hujapevuka
 
What is the point of your useless thread my child?
Atakuwa anataka kutufundisha kuwa wazazi tusinunulie watoto zile pipi zenye filimbi zinapoteza uwezo wa kupiga miluzi ( si umeona yeye ndio kaweza sahivi) , kama si hivyo labda anataka tulinde utamaduni wa kupiga milizu kama tupo machungani
 
Nchi ina maajabu hii
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Hongera mkuu
 
'Hili Toto litajitegemea kweli?'....
Nimemkumbuka Mzee wa jirani akimuuliza mkewe.πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…