Miongoni mwa stori zilizochukua headline kwenye radio mbalimbali, hata kwenye magazeti ni kuhusiana na msanii wa Ommy Dimpoz kuzuiliwa kuingia Marekani na kurudishwa Tanzania bila kufanya show zake.
Sasa basi Kupitia Amplifaya ya Clouds FM Ommy Dimpoz ame amplify na kusema;"…Mimi hata mwenye hizo habari zimenishangaza na kilichonishangaza zaidi stori jinsi zilivyokuja na zilizovumishwa sijui zimekuja vipi kimenishangaza zaidi au unakuta hata mtu ni professional, watangazaji, Waandishi,wengine mtu aandika tu stori au anaongelea stori kwa maana unatengeneza stori kwa kusikia kitu ambacho hauna ushahidi wala haujamsikia mhusika pengine hata kuongea na management yangu, au lakini hata kuongelea ile kuhusu mhusika maana meneja wangu aliniambia ameulizwa imekuaje akawajibu kwamba Ommy ame ni text anarudi leo kwa hiyo yeye atakuwa na majibu yote lakini unakuta stori tu zinaongelewa ambapo hata mimi mwenyewe sijasikilizwa kitu gani kimetokea.."