Hatimaye Paolo Maldini kustaafu soka

Belo

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2007
Posts
12,897
Reaction score
10,213
Paolo Maldini mmojawapo ya mabeki hodari katika historia ya soka anastaafu mwisho mwa msimu huu.Amechezea mechi zaidi ya 900 kwa muda wa miaka 24.Pamoja na mafanikio yake yote lakini hakupata bahati ya kubeba kombe la dunia au kubeba tuzo ya mchezaji bora wa Ulaya au ya Dunia
AC MILAN wamesema wataipumzisha jezi yake aliyokuwa anaivaa namba 3

Hii rekodi sijui kama kuna mchezaji ataifikia ngoja tusubiri labda Ryan Giggs,Allesandro DelPiero,Javier Zanetti,John Terry,Steven Gerrard,Xavi ,Raul kama wataikaribia
 
Last edited:
wa henga husema rekodi huwekwa kwa ajili ya kuvunjwa, lakini hii ya paolo, sidhani kama itavunjwahivi karibuni, mi naona itadumu muda mrefu sana, kutokana na soka kubadilika sana miaka ya hivi karibuni, Viva paolo!! sitosahau ile milan ya the trio dutch na ya weah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…