Hatimaye Pierre Konki Liquid anaendelea tu ' Kumuumbua ' Kivitendo Mwana Mpendwa wa Kivukoni Ferri


Mkuu nimekaa kimya ila leo nimeona bora niseme kuhusu huu muandiko wako.

Huwa napenda sana mada zako kwa sababu huwa zinanigusa sana ila kikubwa huwa napata sana tabu kwenye kusoma kutokana na hii font unayoitumia kwangu ni ndogo sana kiasi kwamba inanipa wakati mgumu kwenye kusoma mpaka kufikia mwisho.

Pendekezo : naomba uongeze font size au ubadilishe font au ifanye bold ili iwe rahisi kuisoma kwa kuangalia kuliko kwa kuchungulia mkuu.

Natumai utalifanyia kazi ombi langu hilo. Natanguliza shukran zangu kwako.

Ahsante sana.
 

Ombi limesikika na nitakachofanya ni kuongeza labda kidogo Font au niiache hii hii ila nii Bold.
 
Maneno yote hayo ya nini....

Hhhahhaaha..

Kazi kweli.
 
Ombi limesikika na nitakachofanya ni kuongeza labda kidogo Font au niiache hii hii ila nii Bold.

Angalau hapa kidogo naweza kusoma bila ya kuvaa miwani aisee.

Nashkuru sana kufanyia kazi ombi langu na kuwa msikivu sio kama jiwe.

Ahsante sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…