hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Mwanamuziki wa R&B .R.kelly Amekamatwa hapo juzi Usiku .baada ya mahakama ya Chicago Kutoa Amri Ya kukamatwa kwake kufuatia ushahidi Mpya .kuhusiana na madai Aliwadhulumu kimapenzi watoto wa tats( 3) kati ya miaka 13 -- 17
Hakimu amechukua hatua baada ya mkanda wa video kuonesha tukio lililotokea mwaka 1998
Hapo juzi uziku February 22 R.kelly alielekea kwenye kituo cha police Jijini Chicago majira ya saa 8:15 p:m baada ya kutolewa maagizo ya kukamatwa kwake kufuatia Tuhuma hizo za Kingono
Msemaji wa police Anthony guglielmy Alieleza muda mfupi baadae kuwa R.kelly Amekamatwa na anatarajiwa kufikishwa mahakamani Jumaamosi hii (leo)
Sent using Jamii Forums mobile app