Hatimaye R.Kelly Atiwa Mbaroni

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
45,678
Reaction score
63,304
Mwanamuziki wa R&B .R.kelly Amekamatwa hapo juzi Usiku .baada ya mahakama ya Chicago Kutoa Amri Ya kukamatwa kwake kufuatia ushahidi Mpya .kuhusiana na madai Aliwadhulumu kimapenzi watoto wa tats( 3) kati ya miaka 13 -- 17

Hakimu amechukua hatua baada ya mkanda wa video kuonesha tukio lililotokea mwaka 1998
Hapo juzi uziku February 22 R.kelly alielekea kwenye kituo cha police Jijini Chicago majira ya saa 8:15 p:m baada ya kutolewa maagizo ya kukamatwa kwake kufuatia Tuhuma hizo za Kingono

Msemaji wa police Anthony guglielmy Alieleza muda mfupi baadae kuwa R.kelly Amekamatwa na anatarajiwa kufikishwa mahakamani Jumaamosi hii (leo)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu uwe unasoma au kupitia taarifa mbali mbali kwenye vyombo vya habari.

Ni kweli ni taarifa muhimu ila ishapitwa na wakati maana unaonekana wewe ndio unaiona leo, labda ndio umepata hela ukaweka kifurushi ya kutembelea mitandaoni.
 
Mkuu uwe unasoma au kupitia taarifa mbali mbali kwenye vyombo vya habari.

Ni kweli ni taarifa muhimu ila ishapitwa na wakati maana unaonekana wewe ndio unaiona leo, labda ndio umepata hela ukaweka kifurushi ya kutembelea mitandaoni.
Mimi hii taarifa sio kwamba nilikuwa sijaipata ... nimeipata tangu majuzi ... nilichokifanya nikuwasogzea watu wengine ambao ni wafuatiliaji wa masuala ya burudani " lakini hawakupata fursa ya kuiona kwa sababu mbali mbali ambazo zipo nje ya uwezo wao

Halafu mimi kila siku nipo online _ fuatilia comment zangu utaona kuwa zina ku prove wrong " ..sijawahi ku-kosa kifurushi aise " ..... kama ambavyo umewahi kukosa wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
R. Kelly Karma inamtafuna sasa.
Hakuweza kuweka Bond wakati katengeneza records worth over $200 Mil.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…