Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Mbunge wa Kawe, Rita Mlaki, ametangaza rasmi kutogombea tena jimbo la Kawe.
Rita Mlaki ametangaza kutogombea huko akiwa Bungeni mjini Dodoma, wakati akichangia makadirio ya Bajeti ya Miundombinu yeye akiwa ndie nchangiaji wa mwisho kabla kikao cha asubuhi hakuijaahirishwa mpaka saa11 jioni.
Mama mlaki ametumia fursa hiyo kuwaaga wabunge na wana Kawe kwa ujumla, japo hakuifanyia chochote Kawe, kuaga ni ustaarabu, tunamshukuru kwa hili.
My Take:
Huyu ni mmoja ya wabunge wachache aliyewa kusoma wazi wazi dalili za nyakati na kuamua kujikali kando kabla wana Kawe, hawajuweka kando na CCM yake.
Kutogombea kwake, kunamuweka pabaya Halima Mdee maana sasa itategemea CCM wanamsimamisha nani.