Jibaba Bonge
JF-Expert Member
- May 6, 2008
- 1,246
- 402
atapewa UDC wilaya ya korogwe hivi karibuni, ili wakubwa wakienda ziara mkoani tanga, basi wapate mahali pa kupumzika, yule wa lushoto si mnamkumbuka eeh,, chakuraaaaa.
Wizara yenyewe imejaa watumiaji kibao, labla wapitishie Angaza. Jamaa pale hawaogopi kusema waziwazi. Huu ugonjwa ni janga la Taifa kama walivyoutangaza lakini hawauogopi tena. Ukimuona mkeo anashiriki sana mambo ya chama jua si riziki, hakuna ethics kabisa kwenye mambo ya vyama na hasa kile chama chenye watu wanaoweza kukupatia nafasi ya ulaji. Watu wanajuana nani ni wa nani na wakati huohuo watu hao ni wana ndoa.
Mh! yaani kumbe mhe. Mdee ndio kamkimbiza huyu mama dah kweli kazi ipo oktoba majimbo ya uchaguzi yatakuwa hayatoshi
ANAVAA VIKUKU? huu unaweza kuwa unafiki na maneno yasiyo na ukweli ndani yake....! MTUMISHI WA SERIKALI ANYEBEBA DHAMANA YA TAIFA HAWEZI VAA VIKUKU....!
ameogopa kupambana na mdee