Hatimaye Roma Mkatoliki afunga ndoa

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,515
Reaction score
28,506
Roma Mkatoliki,msanii maarufu wa hiphop Tanzania hatimaye ameamua kufunga ndoa rasmi na mpenzi wake wa longtime ambaye wana mtoto pamoja (Ivan) April 9 2016. Ndoa hio imefungwa nyumbani Tanga na ni baada ya send-off kufanyika Dar es salaam February 2016.

Ndoa yao imefungwa Jumamosi hii na kuhudhuriwa na mastaa mbalimbali akiwemo Kala Jeremiah aliyekuwa best man. Wawili hao wana mtoto wa kiume, Ivan.










All the best Roma
 
Hongera zao,Mungu awabariki kwa amani na upendo daima!!
 
Hongera zao baraka za Mungu ziwe kwenye ndoa yao.
 
Hongera zake..
Mungu awape hekima katika ndoa yenu
 
Fantastic! Amefunga ndoa na rafiki yake wa mda mrefu!..... He make me wanna!
 
Wamebariki ndoa#

Ndoa waliifunga the moment walivyofanya tendo la ndoa na kupata mtoto.

By the way, hongera kwao kwa kuhalalisha rasmi tendo hilo.
 
daaah hongera sana. Nitamwambia kuruthumu wangu nasiye tuifunge.
 
Wamebariki ndoa#

Ndoa waliifunga the moment walivyofanya tendo la ndoa na kupata mtoto.

By the way, hongera kwao kwa kuhalalisha rasmi tendo hilo.
Alikuwa na uwezo wa kufunga na mwanamke yeyote yule, sio lazima huyo aliyezaa nae. kuishi na mwanamke mmoja ndani na kuwa nao 6 mtaani yote ni sawa (Uzinzi). Naamanisha amefunga ndoa (ameweka agano)
 
"nakumbuka zile hustle za mbeya mpaka nyamongo/, nilitupa harakati nikazama mbulahani..... nancy mtoto wa kigogo " by roma ft chilambo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…