Hatimaye Rommy (DJ wa Diamond) arejea kazini

Haya mambo ya kufata fata wenzie alikua anakosa muda wa kukaa na dem wake hadi akaachwa ha ha ha na mtoto mzuri tuerny View attachment 322901
Duh kweli uzuri wa mtu uko machoni kwa mtu uyu hata tukibaki wawili tu duniani na nikasikia sauti ya Mungu kua uyo ndio mkeo nitasema hapana baba naomba uninyakue tu nije nianze maisha mapya uko uko khaaaa.
 
Ubaya wake nini jameni
 
Ubaya wake nini jameni
Iyo mirangi rangi yake naona ndio amekuibia uyo chukulia buuu baaa uyu hapa kasahau mirangi rangi na hajajibinua hakika utataja jina la mkuu wa kaya la utotoni,aka kabayaaa.
 
Huyu dem chombo weyeee
 
Rommy ni VP wa Wasafi na wana mengine mengi pamoja, tangu waanzishe hadi ............
 
Mzuri wapi huyo, au kwasababu ya hiyo picha ya makalio? Ndio maana wadada hawataki kuvaa nguo kwasababu mmezoea kuwapa sifa sio zao.
kweri yaan yaan sa hv kuvaa nusu uchi kalibia na kuonesha kinena na kujibinuabinua makario na kuongeza na kushonea maweaving na mawigi ndo uzuri dah wanawake wamepotea kabusa hakika dunia inakwenda ukingoni
 
Ana sura nzuri, macho, mdomo mizuri. Shape na makalio macho yangu yanamuona mzuri mawig na nusu uchi umeona wewe
 
Duh kweli uzuri wa mtu uko machoni kwa mtu uyu hata tukibaki wawili tu duniani na nikasikia sauti ya Mungu kua uyo ndio mkeo nitasema hapana baba naomba uninyakue tu nije nianze maisha mapya uko uko khaaaa.

Hahahahahahahaha....umefanya nicheke mpaka basi..kwahiyo bora kuanza upya kuliko kuachiwa mikosi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…