Ama kwa hakika Heaven host sing haleluyah.
Hii ni kutokana na ukweli kuwa Ronaldo De assis Moreirra awapo uwanjani basi shughuli zoote huko Mbinguni husimama na wahusika wa huko kuanza kutazama uwezo wa hali ya juu na wa kutoka ligi yao huko ukionyeshwa na Dinho Gaucho.
Infernomena Ronaldo de Lima alipata kunena kuwa ''Tembo hata augue vipi hawezi kukonda na kuwa kama Paka''.
Kisha akamfananisha Dinho Gaucho na Tembo.
Coz hata aache mpira miaka 20 then akirudishwa ghafla ground ni lazima apige Lespardinha, Lelastica, el baretti, la farta, estil laudrup na skills nyingine za ajabu.
Gaucho ni nabii wa soka aliyetumwa toka mbinguni kuja kutuelekeza soka la huko linavyopigwa.
So Dunga alimkosea sana mtakatatifu huyu heshima kwa kweli.
Forza Marno
Sempre Dinho.
Dunga na Mkwele ni sawa na gagulo na sidiria...