Mkuu Hata hivyo anajitahidi sana anatakiwa he maintains his professionalKajitahidi
Sasa akazane asipotee kisoka
Uzuri dogo ana nidham flani hivi ya kujitambuaMkuu Hata hivyo anajitahidi sana anatakiwa he maintains his professional
ni kweli alipoteaHv yule jamaa aliyeweka uz et samatta kap0tea yuk0 wap?
karibu mechi ya 20 leo ana goli 5 tu si afya sana kwa straika hasa kwa ligi za wenzetuHv yule jamaa aliyeweka uz et samatta kap0tea yuk0 wap?
Mechi 18 na ajaweza kucheza kwa dakika 90 zaidi ya mech 4karibu mechi ya 20 leo ana goli 5 tu si afya sana kwa straika hasa kwa ligi za wenzetu
karibu mechi ya 20 leo ana goli 5 tu si afya sana kwa straika hasa kwa ligi za wenzetu