haha ngoja a0ne aibu itamkamata nahs kashafuta uzi wakeni kweli alipotea
Kumbuka lg ya huk0 s kama smba na yanga kijanakaribu mechi ya 20 leo ana goli 5 tu si afya sana kwa straika hasa kwa ligi za wenzetu
Yeah kweli mkuu, mfano leo amefunga goli moja, lakini kwa aliyefuatilia ile game pia yeye ame assist kupatikana kwa goli jingine, na inatokeo hivyo mara nyingiKuna watu hawajui wenzetu wanafuatilia nini kwa mchezaji .... maana haishii kwa kufunga tu lakini pia wanaangalia mchango wako uwanjani,umeisaidia kwa kiasi gani timu yako tangu ulipoanza kuchezeshwa .........wakishaangalia wastani wa muda unaochezeshwa na bidii unazozifanya ndio wanakuwa na majibu ya kwamba huyu hatufai au lah.
Mkuu Hata hivyo anajitahidi sana anatakiwa he maintains his professional
Achana na huyo mchawi. Hivi anaelewa nini maana ya football huyo?Hv yule jamaa aliyeweka uz et samatta kap0tea yuk0 wap?
ni kweli alipotea
who is sammata by the way?
Timu ya Mbwana Samatta imefuzu kucheza Europa League
Yeah kweli mkuu, mfano leo amefunga goli moja, lakini kwa aliyefuatilia ile game pia yeye ame assist kupatikana kwa goli jingine, na inatokeo hivyo mara nyingi
Ile shida ya kushindana kufunga aliyokua anakutana nayo na akina kalaba tp mazembe naona kama ataipata kwa Nikos KarelisAmechangia goli tatu.La kwanza penalt kachezewa rafu yeye,la pili kafunga yeye na la nne alitoa pasi yeye ya goli.
Ile shida ya kushindana kufunga aliyokua anakutana nayo na akina kalaba tp mazembe naona kama ataipata kwa Nikos Karelis
Naona unabishana na ukweli.Haijafuzu europa legue,kuna mchujo mwengine kabla europa league.
duuhHaijafuzu europa legue,kuna mchujo mwengine kabla europa league.