Hatimaye Samatta aifungia timu yake goli


Karelis anaonekana ni mzoefu zaidi kuliko Samatta, na pia amezoea sana hiyo ligi, na ana nguvu kuliko Samatta ila Samatta ana kipaji kikubwa sana kuliko huyo Karelis halafu anacheza kwa ajili ya timu. Naona yeye ndio anampatia pasi Karelis, lakini sioni Karelis akitoa pasi nzuri kwa Samatta. Kama ulivyosema combination ya wawili hawa itakuwa matata sana ambapo Samatta analazimika kuwa mpishi kwa ajili ya Karelis
 

Umesema kweli kuna siku samatta alihojiwa akasema kupewa pasi ya kufunga goli ni ngumu sana.Hiyo ligi ina mawakala wengi wa timu kubwa hivyo kila mchezaji anataka kufanya vizuri ili apate timu kubwa.Na hicho ndio kinachopelekea ubinafsi.
 
Yaan mech 15,anafunga goli 5 tu!!!! Hamna kitu hapa

Atafute tu mzungu amzalishe apate visa ya kuish ughaibuni la sivyo atarubuniwa na makandambili fc
 
Yaan mech 15,anafunga goli 5 tu!!!! Hamna kitu hapa

Atafute tu mzungu amzalishe apate visa ya kuish ughaibuni la sivyo atarubuniwa na makandambili fc

Km hujui chochote kuhusu mpira sio lazim naww uchangie 2 km wenzio, unajua hazard amefunga goal ngap msimu uliopita? Vp wayne Rooney? Unajua km giroud alikaa match 12 bila goal? Depay kafunga goal ngap msimu mzima? Kufunga 2 sio kila kitu kwa forwad at mchango wake 2 unahitajika uwanjani, wewe na aliekuja kuuliza et who is mbwana samatta by the way wote wachawi 2
Na hapo bado jamaa anahangaika na Adaptation ya mazingira pamoja na wachezaji wenzie kwani amenunuliwa dirisha dogo
 
Bwana mdogo Punguza presha, mimi nimeangalia fainali za kombe la dunia kupitia Itv [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Unajua balaa la Giraud kabla ya kwenda arsenal?

Unajua balaa la hazard kabla ya kwenda Chelsea?

Unajua balaa la depay kabla ya kwenda man. U?
Unajua balaa la Rooney kabla ya kwenda old Trafford?

Mchezaj anayetafuta kutoka hawez akafunga goli chache hivo a, la sivyo ataishia hapo hapo

Halafu usije ukajiona unajua mpira kuliko wengine, kumbe hamna kitu
 

Wewe km unajua mpira huwezi kulaumu kwa samatta kufunga goal 5 hadi sasa, na kuhusu giroud najua alikotoka alikuwa mfungaji bora, kuhusu hazard amekuja kuwa mkali chelesea kuliko aliko toka lile, na kuhudu Wayne Rooney labda hujui kwamba hakufanya chchte cha ajabu wakati yupo everton, na kilichomfanya anunuliwe na man ni uwezo alionesha kweny match ya Everton vs Arsenal na kufunga goal la umbali mrefu,

Kwahiyo kujifanya unajua mpira alafu unalaumu mchezaji alienunuliwa dirisha dogo kwa kufunga goal 5 ktk match 18 na kati ya hizo alizoanza first 11 hazifiki 10 ni wazi utakuwa unajiwehusha makusudi
 
Ivii zile goli 3 alizofunga NICOS KARELIS ingekuwa ndiyo SAMATTA kazileta pangekuwaje humu? Yaani Goli moja tu linawafanya mna-comment page nzima..duh hii ni balaa aise!
 
karibu mechi ya 20 leo ana goli 5 tu si afya sana kwa straika hasa kwa ligi za wenzetu
Samatta ndo msimu wake wa kwanza ulaya, tena ameingia kupitia dirisha dogo, katika mechi hizo 15 mechi karibia 10 anaingia Dakika ya 70, unamlaumu vipi? Subiri msimu ujao ili mwisho wa msimu ndo uanze kumlaumu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…