Hatimaye Samatta aifungia timu yake goli

Wewe labda ulikuwa hufatilii ligi ya ufaransa, hazard alikuwa moto wa kuotea mbali kabla ya kuja uingereza

Acha kupuyanga dogo
 
Unalijua balaa la samma goal alipokuwa tout puissante mazembe,mpaka akapewa tuzo ya uchezaji bora kwa wachezaji wa ligi ya ndani Africa....!!!??
 
Ivii zile goli 3 alizofunga NICOS KARELIS ingekuwa ndiyo SAMATTA kazileta pangekuwaje humu? Yaani Goli moja tu linawafanya mna-comment page nzima..duh hii ni balaa aise!

Hivi wewe unajua Karelis alikaa mechi ngapi bila kufunga goli kabla ya hizi tatu?
 
Wewe labda ulikuwa hufatilii ligi ya ufaransa, hazard alikuwa moto wa kuotea mbali kabla ya kuja uingereza

Acha kupuyanga dogo

Duhhh, me naona ww ndio unapuyanga maneno, hujui km hazard alimuwa mchezaji bora wa england, kwenye kile kipindi utalinganisha na hazard wa ufaransa?

Alafu me sielewi lengo laswa ni nini, kwa sababu msimu wa kwanza kwa mchezaji mara nyingi hushindwa kuimpress, hadi angalau msimu mmja upite na hapo ndio unaweza kum judge uwezo wake, ss kwakuwa tambwe ameongoza goal VPL basi akiuzwa Elmerick et na kule akawe mfungaji bola msimu wa kwanza nonsense,

Unakumbuka msimu wa 2013/2014 suarez alikuwa mfungaji bora wa england tena kwa goal 30 hv ila alipoenda barca msimu wa kwanza akafuga goal 16 kwahiyo nawao walitakiwa waseme km ww kuwa hakuna kitu hapo, ila msimu huu umeona alichofanya? Acha kulazimisha uonekane makanjanja
 
Hivi wewe unajua Karelis alikaa mechi ngapi bila kufunga goli kabla ya hizi tatu?

Unaelewa kiswahili mzee au napoteza time? Narudia tena, katika mechi moja walocheza hiyo juzi je! Je! Je! Je ingekuwa ndiyo samatta kaleta zote hizo 3 pangekuwaje humu?
 
Unaelewa kiswahili mzee au napoteza time? Narudia tena, katika mechi moja walocheza hiyo juzi je! Je! Je! Je ingekuwa ndiyo samatta kaleta zote hizo 3 pangekuwaje humu?

Kabla ya kukujibu kuhusu uelewa wangu wa kiswahili ambalo sio mada hapa, hebu jibu swali mwenyewe, wewe unadhani ingekuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…