Hatimaye serikali ya awamu ya tano imeondoa UKIMWI Tanzania

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
630
Reaction score
2,151
Mimi kama mtafiti mkuu wa masuala ya mitafunano na mahusiano yasiyokuwa rasmi baina ya mwanamke na mwanaume natangaza rasmi ukimwi haupo tena Tanzania ya viwanda.

Katika awamu hii ya tano ya mtukufu mkuu jemedari jiwe kwelikweli yeye aliekuwepo na hatakuwepo kama yeye hapa Tanzania ,tumeshuhudia anguko kubwa la bei za huduma zitolewazo na dada zetu wanaojizuza kwa lengo la kutuokoa sisi wafuasi kindakindaki wa chama cha madomo zege Tanzania.

Anguko hili la bei limeleta faraja isio kifani kwetu madomo zege hali inayosababisha tujiulize uhalisia juu ya uwepo wa ukimwi hapa nchini.

Kwa maana ile midahalo yenye kutoa tahadhari kuhusu hali ya ukimwi na namna ya kujilinda imezimwa kama mshumaa.

Huku mkuu jiwe akituhamasisha tuzaane kwa wingi hii inamaana tunakula papuchi peku peku ili tumfurahishe yeye alie juu mtufu asiyepingwa..

Huku hali ya kipato cha mtu mmoja mmoja ikidorora hususani kipato cha dada zetu sisi madomo zege tuko pembeni na akiba zetu za mifuko ya plastic ajili ya kufungia vumbi la congo tukifurahia neema hii isiyo kifani.

Hapa da-slam jiji la bashite yeye ajaye baada ya mtukufu nasema neema imekuwa juu sana kwa maana maeneo yakinondon moscow,mwananyamala ujiji n.k huko unaweza pata papuchi hata kwa kuhonga mo energy.

Nahitimisha kwa kutoa shukran zangu za dhati kwa wakuu wa awamu hii ngumu kama kwato za faru kwa kutufanya tuhisi ukimwi hauopo kwa maana starehe pekee tuliyobakiza ni mitafunano au mikanyagano sababu kipato hakituruhusu kwenda kuona hata sanamu la askari posta
 
Sijui tulichelewa wapi kumpata mtawala huyu, alieabarikiwa na mungu kiasi na yeye kuwa kama mungu.. Leo kila mtanzania anatembea kifua mbele, anakula milo mitatu, anapata matibabu bure, mabeberu wanatuonea gele maana hatujakopa hela zao kufanya miradi yetu, tunatumia pesa zetu wenyewe..
 
mtukufu nae atakuwa mwanachama mwenzetu wa domo cement mixer mchanga na kokoto.
 
Hakika atatuvusha kuelekea nchi ya ahadi
 
Wenzako wanapambana na kampeni za awareness wewe unakuja mawazo haya...
 
Kama twakimu zinavyosema maambuziki mapya kila siku ni watu 200
Kwa wiki 200x7. = 1400 people
Kwa Mwezi. 200x30. = 6,000 people
Kwa mwaka. 200x365 = 73,000 people

Ukimwi upo chukua tahadhari.

Sorry
Adumu jiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…