Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naweka akiba ya maneno ila clips za huyo dogo zinatishaKama kweli basi Simba Sc wamepata mchezaji mzuri.
Ohoo next season lawama tff bado hawajaziepuka
ni yeyeHuyu sio yule alikuja na team ya malawi juzi kati hapa anachezea moldova huko?
Huyu ni Chikwende Juniour.Ohoo next season lawama tff bado hawajaziepuka
Mbona dau lake heavy sana?! 820m![]()
Peter Banda - Player profile
Peter Banda, 24, from Malawi ➤ Big Bullets FC, since 2023 ➤ Right Winger ➤ Market value: €125k ➤ * Sep 22, 2000 in Blantyre, Malawiwww.transfermarkt.com
Ili Yanga washindwe kumsajiliMbona dau lake heavy sana?! 820m
Ndiyo mwenyewe mkuuHuyu sio yule alikuja na team ya malawi juzi kati hapa anachezea moldova huko?
Dogo ni mzuri, kashasinya tayariNaweka akiba ya maneno ila clips za huyo dogo zinatisha
HahahaaaaaOhoo next season lawama tff bado hawajaziepuka
Konde Boy anaondoka?Club ya Simba imepafanikiwa kumnasa kinda wa timu ya Nyssa big bullet ya nothing Malawi [emoji1156] kwa mkataba wa miaka mitatu. Dili hilo limefanikishwa na Hans Pope Zakaria aliyetua Malawi kukamilisha dili hilo.
Source ni mimi mwenyewe.
Jamaa anacheza kiungo gani?Konde Boy anaondoka?
Kiungo cha kwenye Biriani.Jamaa anacheza kiungo gani?
Cha kukaba au chakushambulia?
Kama zile za Pape Ndeaw na SerunkumaNaweka akiba ya maneno ila clips za huyo dogo zinatisha