Hatimaye Simba imefanikiwa kumsajili kiungo funding wa kabumbu, Peter Banda kutoka timu ya Nyasa Big Bullet

Chai nusu

Senior Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
180
Reaction score
72
Club ya Simba imepafanikiwa kumnasa kinda wa timu ya Nyssa big bullet ya nothing Malawi [emoji1156] kwa mkataba wa miaka mitatu. Dili hilo limefanikishwa na Hans Pope Zakaria aliyetua Malawi kukamilisha dili hilo.

Source ni mimi mwenyewe.
 
Konde Boy anaondoka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…