kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Sema sisi Makolo hali yetu sio nzuri kabisa. Kitu pekee cha kutupatia faraja, ni kuwasema utopolo. Yani tumezurula msimu mzima bila lolote la maana.Hata sisi Yanga tumeonesha hatupendi kuona Raisi wetu akisemwa kuhusu tabia yake ya usela
Maana Clouds aliwahi kusema hivi
View attachment 2661765
Ujue Makolo wanayoongea ni ya kweli na sisi tumekosa hoja ya kuwajibu kwasababu ya uongo ambao Raisi wetu amekuwa akiongea.
Yani sisi makolo furaha yetu yanga ianguke. Hersi mpaka atoke yanga.Sema sisi Makolo hali yetu sio nzuri kabisa. Kitu pekee cha kutupatia faraja, ni kuwasema utopolo. Yani tumezurula msimu mzima bila lolote la maana.
Kwa hali ilivyo, msimu ujao pia tutatembea hovyo kama kuku aliekatwa kichwa!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Naona wewe huwa huna cha kuandika/kuchangia hapa JF zaidi ya kuandika habari za Simba tu! Zaidi ya 90% we' ni Simba tu! Tena, ni kuinanga tu!Ni ukweli pasina shaka simba tumeonesha hatupendezwi kabisa na uwepo wa engineer maana anatishia brand yetu na kumtesa sana Mo Dewji.
Tuungane na wachambuzi wetu kumshambulia ili atoke yanga.
Tukifanikiwa tutakuwa tumeshinda hiki kikombe kigumu
Simba
Guvu moya
Tunaisaidia klabu yetu mkuuNaona wewe huwa huna cha kuandika/kuchangia hapa JF zaidi ya kuandika habari za Simba tu! Zaidi ya 90% we' ni Simba tu! Tena, ni kuinanga tu!
Huwa huna mawazo mengine?
Halafu huyu jamaa nilijua ni baba mtu mzima kumbe bado ni mtoto mdogo kabisaINAONEKANA MAKOLO WANAKUKAZA VIZURI SANA
KUTWA KUWAWAZA MAKOLO, ITAKUWA WANAKUNYOOSHA BARABARA.
Sema hawa yanga wanajisikia sana, bora hawa wachezaji wao wote waondoke maana ni hatari sana katika rigi yetu,Ni ukweli pasina shaka simba tumeonesha hatupendezwi kabisa na uwepo wa engineer maana anatishia brand yetu na kumtesa sana Mo Dewji.
Tuungane na wachambuzi wetu kumshambulia ili atoke yanga.
Tukifanikiwa tutakuwa tumeshinda hiki kikombe kigumu
Simba
Guvu moya
Mmmmmmm! Hii 'lugha', nilikuwa najua kuwa anaifahamu mtu mmoja tu, hapa JF! Sijui amekuambukiza yeye, au nayo hii ni ID yake…… .?INAONEKANA MAKOLO WANAKUKAZA VIZURI SANA
KUTWA KUWAWAZA MAKOLO, ITAKUWA WANAKUNYOOSHA BARABARA.
Kwamba simba tunakukaza Sawa sawaINAONEKANA MAKOLO WANAKUKAZA VIZURI SANA
KUTWA KUWAWAZA MAKOLO, ITAKUWA WANAKUNYOOSHA BARABARA.
Ingawa hawatufikii sisi simba mkuu hata ukiangali trend utaona jinsi tunavyojishulisha na vitu visivyo ya msingi kabisa ndio maana tunaitwa mandunduka mipang'ang'aBaada ya kufanya Reserch/ UTAFITI hapa Jamii Forum na kujiridhisha PASIPO na Shaka kuwa..
1. Nimegundua Mashabiki wengi wa Yanga hapa Jamii forum Wana TATIZO kichwani.
2. Walio wengi ni WAJINGA, mbumbumbu mzungu WA Reli na wapumbavu.
3. Nikafuatilia historia ya nyuma ya kuanzisha hii timu inasema walianzisha hii timu ilikuwa na WATU WENGI wasiokuwa na Elimu.
Guvu moyaNi ukweli pasina shaka simba tumeonesha hatupendezwi kabisa na uwepo wa engineer maana anatishia brand yetu na kumtesa sana Mo Dewji.
Tuungane na wachambuzi wetu kumshambulia ili atoke yanga.
Tukifanikiwa tutakuwa tumeshinda hiki kikombe kigumu
Simba
Guvu moya
.Ingawa hawatufikii sisi simba mkuu hata ukiangali trend utaona jinsi tunavyojishulisha na vitu visivyo ya msingi kabisa ndio maana tunaitwa mandunduka mipang'ang'a
Simba tubadilike