Hatimaye Simba tutapumzika kutetemeshwa

Mungu amekisikia kilo chetu cha muda mrefu. Yule aliyekuwa anatufanya tukose raha kabisa ya mpira anaondoka. Tulikuwa tunaumia kutetemeshwa kunyanyaswa na yanga.
Nilichukia kutetema
Malizia na 'nikiripoti kutoka kidimbwi ni mimi wenu Utopolooooo hamnazo..!

Maana huko utopoloni Mzungu pori alishawatambulisha duniani kuwa wote ni Hamnazo isipokuwa Wa2 tu. Weye sio mmoja wa wale Wawili aliowataja..!

Mzungu pori ana dhambi isiyofutika maisha yote hapo utopoloni.
 
Mungu amekisikia kilo chetu cha muda mrefu. Yule aliyekuwa anatufanya tukose raha kabisa ya mpira anaondoka.

Tulikuwa tunaumia kutetemeshwa kunyanyaswa na yanga. Nilichukia kutetema

View attachment 2690604

DRC siyo mchezo timu ya taifa! Hadi Mayele anakosa nafasi ya kuanza kikosi hadi anaingia dakika ya 82? Na hapo hata asingeingia DRC walishakuwa na goli moja bila majibu, kwa hiyo hata kusema ameipeleka timu ya taifa AFCON haina maana yoyote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…