Hatimaye Singida Big Stars Yaangusha Points.! Singida Black Stars Leo imejikuta ikiangusha points 2 Muhimu mbele ya JKT Tanzania katika mbio zake za

Hatimaye Singida Big Stars Yaangusha Points.! Singida Black Stars Leo imejikuta ikiangusha points 2 Muhimu mbele ya JKT Tanzania katika mbio zake za

kovai tamil taiga

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2013
Posts
1,451
Reaction score
2,059
Singida Black Stars Leo imejikuta ikiangusha points 2 Muhimu mbele ya JKT Tanzania katika mbio zake za kubakia kileleni. Matokeo Haya yanatoa unafuu Kwa Washindani Wake iwapo wataendelea kufanya Vizuri kukwea Kileleni mwa Msimamo Wa Ligi.

Yote Kwa yote ,hii inaonyesha Ligi ya mwaka huu itakuwa ngumu Sana.
 
Jkt wako vizuri sana halafu Singida kwa mwendo alioonesha basi ajue ameweka alarm atakuwa anakaziwa hatari
Sasa on top yupo fountain kama sikosei
 
Back
Top Bottom