Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Mjini kiki ni WCB, WCB ni kama maji ,usipokunywa, utayaoga tu .
Soudybrown amejikazaa weeeee mwishoni yamemshinda maana alikuwa ameshaanza kupoteza kundi kubwa la watu kwa kukosa habari moto moto mwisho wa siku kutwa kuchwa kumpost Nand na Maua Sama akibadili sana amemuongelea Casto Dickson.
Jamaa alikuwa anaumia sana kutopost habari zinazowahusu WCB, mwisho wa siku ndio kama hivyo ameamua kubwaga manyanga na kuamua kujipendekeza usafini kwa kupost habari zinazowahusu.
Hilo neno la "Masotojo" ni neno linalotumika Wasafi kwa hiyo mchizi ameanza kujipenyeza penyeza hivyo hivyo mdogo.mdogo kwa kutumia baadhi ya maneno ya Usafini ,pia siku hizi amekuwa akiwaongelea sana Wasafi japo kwa kificho ficho kwa kuhofia kibarua chake kisije kikaota nyasi.