We ebu acha kukopi mambo nani kaxema waliosoma udom hawapati ajira,we hapa co fb unaweka kila k2.
Bado "magogoni university".
kwenye red una uhakika??????!!!
Ulishaona University yenye Prof Moja... tena kutoka India, wao hata mtu wa Veta anafundisha...
Embu TCU iwe serious, kwanza wanaharibu Elimu yetu