mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Kenya wanapima vipimo 1000 na zaidi kwa siku. Hadi Uganda wametupita. Kweli hii epidemic itafagia sana tena sana.
Kwa mujibu wa takwimu hizi basi ni dhahiri kuna uzembe mkubwa sana unaendelea nchini dhidi ya mapambano ya ugonjwa huu wa COVID 19.
Kwa mujibu wa takwimu hizi ni lazima hatua zichukuliwe kubaini nani ni mzembe na ni nani mkwamishaji wa mapambano haya. Tunawashangaa WHO, IMF na world bank kutupa kisogo kwenye haya mapambano kumbe hatufanyi chochote kile!
Oneni wenyewe
View attachment 1439624
Jana Rais analalamika mpaka pamba ile ya kuchukua kipimo inaagizwa. Wanabana matumizi. Halafu 652 kwa watu million 60 ni utani huo. Ina maana kuna wagonjwa kibao wana virus na hawajadhibitishwa.
Halafu kati ya vipimo 652 watu 480 positive.
Kazi ipo.
Hujui unachokiongea. Mambo ya sayansi waachie wanasayansi. Kama uchonsema ni kweli kwamba hadi sasa tumepima samples 562 tu; na kwa kuwa hadi sasa tuna confirmed cases 480 tulizo ripoti WHO, ina maana kati ya hizo samples 562 asilimia 85.4% zili test positive! Ni zuzu tu ndiyo anaweza kukusikiliza.
Hivi unaelewa methodology inayotumiwa kupima Covid-19? Unadhani kupimwa joto la mwili ndio kupima uwepo wa SARS-CoV-2 mwilini? Nyinyi hapo kazini kwenu mna rapid test kits za kupima SARS-CoV-2 zinazoweza kupima watu 1000? Wakati mwingine kabla ya kukurupuka kujibu hoja jipe muda ujitafakari je hoja yako unayoitoa kama jibu ni goigoi au la.Kazini kwetu tuko wafanyakazi zaidi ya 1000 na tunapimwa kila tunapooingia kazini wewe hiyo idadi ya 600 umeitoa wapi tuache kupika data
Kwa mujibu wa takwimu hizi basi ni dhahiri kuna uzembe mkubwa sana unaendelea nchini dhidi ya mapambano ya ugonjwa huu wa COVID 19.
Kwa mujibu wa takwimu hizi ni lazima hatua zichukuliwe kubaini nani ni mzembe na ni nani mkwamishaji wa mapambano haya. Tunawashangaa WHO, IMF na world bank kutupa kisogo kwenye haya mapambano kumbe hatufanyi chochote kile!
Oneni wenyewe
View attachment 1439624
Tumpe DJ tu mkuu [emoji16]Hakuna anaeitaka sisiemu,mbadala wa sisiem ni chama gani ama nani utamchagua urais?
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh, Aisee halafu bado wanashangaa positive kuwa nyingi??Siyo wanaoonyesha dalili. Wanapima wagonjwa ambao wameanza kumwa kabisa!
HaipoJe zile sampuli alizotaja bosi Jana zipo kwenye orodha?
Kwanini usilinganishe na majirani zetu Kenya, Rwanda na UgandaMleta mada sielewi hasa lengo.lako mini? Mfano marekani huko iliko IMF na World Bank INA watu milioni 330 waliopimwa hadi sasa ni milioni saba tu watu miloni 333 hawajapimwa!!!
Ila vifo vipo pale pale, ni juzi tu wameacha kuzika usiku wa mananeHama nchi, sisi tunapima wenye signs na symptoms za ugonjwa pekee, vipimo vyenyewe feki hivyo kumbe ndo maana vibaraka walikuwa wanapigia mayowe mass testing ili kuwatia taharuki watu as walishaelezwa na mabwana zao kwamba wametuletea vifaa feki, Magufuli kawaumbua.
CDCHii taarifa imetoka wapi hii mkuu, ??Inamaana waziri mkuu aliposema wamepimwa watu zaidi 1700 alidanganya??
Hii ni taarifa ya wizara au ni ya nani hii mkuu??
Hata hivyo 600 ni watu wachache sana, bado mizaha ni mingiWadau someni mazingira msikimbile kuandika namba bila kuzitafsiri katika mazingira husika ya kuchukuliwa vipimo.
Hiyo ni kama sakata la waliopima DNA kutambua baba wa mtoto, asilimia kubwa nadhani 40 na kitu walikutwa ni watoto wa kubambikiwa baba husika, hii ilitokana na waliojitokeza kupima ni wale tu ambao tayari kulikuwa na migogoro ya ndoa na kukosa uaminifu.
Kama wangepimwa watu randomly takwimu zingekuwa tofauti, idadi ya waliobambikiwa ingekuwa chini sana.
Vivyo hivyo wengi wa walio pimwa COVID-19 ni wale walio onesha dalili na wale waliokutana na waliokutwa na ugonjwa, kwahivyo ni lazima ionekane waliokuwa na ugonjwa kati ya waliopimwa wote ni wengi sana.
Ukiona hivyo unachukua measures asiambukize wengine. Hiyo ndio essence ya mass testing.Je wakishapimwa huwa wanapewa nni wailoambukizwa? Hapo ni kujisifu ujinga tu,
Unampima mtu unamkuta ana ugonjwa na alikuwa mzima kisha humtibu unamwambia hakuna dawa anapata hofu anakufa sasa nani muuaji kama sio wewe uliyempima
Hizo ni taarifa za CDC, wanazitoa wizara ya afya.Wewe jamaa acha uongo basi, kama unasema wapepimwa 652 kati yao 480 ni wagonjwa si karibia kila nyumba tungezika watu 2 hadi 3.
Hizi siasa za kishamba hizi zitawaua. Haiwezekani nchi mpaka leo ipime watu 652 kisha 480 wawe wagonjwa
Mna maabara ya kiwango cha usalama ngazi tatu hapo kazini kwenu?Kazini kwetu tuko wafanyakazi zaidi ya 1000 na tunapimwa kila tunapooingia kazini wewe hiyo idadi ya 600 umeitoa wapi tuache kupika data
Uko sahihi mkuu. Like father like son. Baba akishakua msanii, muongo, mwizi tegemea na walioko chini yake watafanya ayafanyayo. Kwa taarifa yenu akili zetu ziko kwenye SGR,STIGLERS basi . corona itajijua yenyeweNimegundua kuwa Tanzania hakuna vifaa vya kutosha kupima corona, hata hizo michango sijui ni za nini
ujanja ni mwingi sana huko maabara wanapopima corona, hii nchi ina laana sio bure kabisa