Hatimaye Tanzania imeruhusu KQ kuingia nchini humo

Si mlisema kuwa mtatucharaza viboko. Mlisema kuwa mtatufunza adabu. Mlisema KQ haitatua Dar hadi tupige magoti. Sasa tena mnasongeza goli. Baba yenu ukanda huu anajulikana
Kwani mlevi wenu hajapiga magoti ? Unakumbuka kauli ya bwana wenu cjui ndio wazir wa afya ana hata akili sasa kijitapa zimepita cku 3 tu chapombe kaomba poo oooh Watanzania wataingia bila ya kukaa karantini
 
Si mlisema kuwa mtatucharaza viboko. Mlisema kuwa mtatufunza adabu. Mlisema KQ haitatua Dar hadi tupige magoti. Sasa tena mnasongeza goli. Baba yenu ukanda huu anajulikana
Wanasemanga he who laughs last laughs best πŸ˜‚πŸ˜‚.Habari ndio hio
 
ATCL nayo imeanza kuingia nchini Kenya? Au ilikuwa ni wivu tu na visasi vya ovyo ovyo kama vya mahouse maid? Bure kabisa.
 
Wanasemanga he who laughs last laughs best [emoji23][emoji23].Habari ndio hio
Kweli ninyi ni vichaa, serikali yetu ilishasema kwamba mkiweka Tanzania katika orodha ya nchi mlizoruhusu ndio wataruhusu ndege za Kenya kutua Tanzania, na ndivyo ilivyofanya, sasa ninyi ambao mlisema hamtoiweka Tanzania katika hiyo list hadi Tanzania itakapotoa taarifa za wagonjwa wa Corona, tuwachukulieje?
 
ATCL nayo imeanza kuingia nchini Kenya? Au ilikuwa ni wivu tu na visasi vya ovyo ovyo kama vya mahouse maid? Bure kabisa.
Tumia akili yako vizuri usijipe uchizi, tulizuia ndege zenu baada ya Kenya kutoiweka Tanzania katika orodha ya nchi ziloruhusiwa kutua Kenya, hapakua na sababu zingine zaidi ya hiyo.
 
Si mlisema kuwa mtatucharaza viboko. Mlisema kuwa mtatufunza adabu. Mlisema KQ haitatua Dar hadi tupige magoti. Sasa tena mnasongeza goli. Baba yenu ukanda huu anajulikana
Mmepiga magoti ndo maana tumewaruhusu
 
Tumia akili yako vizuri usijipe uchizi, tulizuia ndege zenu baada ya Kenya kutoiweka Tanzania katika orodha ya nchi ziloruhusiwa kutua Kenya, hapakua na sababu zingine zaidi ya hiyo.
Sasa mlipo ongezwa kwenye orodha, pamoja na nchi zingine zote ambazo hazikuwa kwenye orodha ya hapo awali, ndio mkaona freshi kupanua miguu kabisa tuendelee na show kama kawa? KQ inatua Tz, ATCL haitui Kenya, status quo ipo pale pale hapo hamna strategy yeyote zaidi ya wivu.
 
Nani aliyesema tuendelee na show zaidi ya watu kwenye mitandao?, msimamo wa serikali ya Tanzania ulikua kwamba hatutoruhusu KQ hadi Tanzania iwekwe katika list, na ndivyo ilivyifanya.

Swali la kuwauliza, ninyi mlisema hamtoingiza nchi hadi mtakapoona idadi ya maambukizi katika hiyo nchi imeanza kupungua, Uhuru Kenyatta alisema tunaficha data kwasababu hali ya maambukizi Tanzania ni mbaya Sana, vipi mumetuweka katika list salama lakini Somalis bado hamjaiweka wakati tulikua kundi moja?, mumepata wapi taarifa za Corona za Tanzania?
 
See this Mad man talking! No research no right to speak!
 
Nikuwapga nyundo hawa wa Kenya wana udada sana
 
Issue Ipo Wazi Kuhusu Suala Hili
Kenya Walitaka Watu Kutoka Tanzania Kuingia Kenya Wakae Kizuizini Siku 14 Kwaajili Ya COVID 19

Tanzania Ikasema Jambo Hilo Halipo Iwapo Mtanzania Akiingia Kenya Asiwekwe Kizuizini. Kenya Yenyewe Ikaondoa Hilo Zuio Kwa Tanzania

Nasi Serikali Inamruhusu Ndege Zote Kutoka Kenya
Kuingia Tanzania
 
Wanasemanga he who laughs last laughs best πŸ˜‚πŸ˜‚.Habari ndio hio
Badilikeni nyie, Tanzania tunawajua ndani nje nyie.Ukileta zenu majibu hapo hapo maana nyie hamjielewielewi , mapigo ya serikali yetu ya mwaka 2020 yatakuwa darasa mujarabu kwenu.
 
Ha ha ha we jamaa ni bure kabisa. Yaani mmelia weee, tumewaambia hadi mseme Tanzania ni salama, mmesema, tumewafungulia. Au bado hamjasema Tanzania ni salama tuzuie tena?
 
Jamaa wa njaa wanajifariji tena πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ hahaha mshajua sasa nani baba enu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…