PreGE2025 Hatimaye Thamani ya Ubunge yashuka Rasmi, hata wasiofaa wanautaka

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwasababu hakuna vigezo na meza hupinduliwa na waende maporini
 
Ni haki yake kugombea, punguza majungu.
 
Maadam ni Watanzania na wana vigezo vya kugombea sioni hoja ya kwanini wasigombee. Kuna watu wajinga na wapumbavu wanaoamini wao ni bora kuliko wengine. Watu hawa sio hawastahili kuishi bali hata makaburi yao hayatakiwi kuonekana milele!
 
Kugombea sio Tatizo ila kupata ndio tatzo NA
Hakuna mfisadi mkubwa wa nchi anaetaka viongozi imara kwenye Mikoa ya hapa Tanzania... Magufuli angekuwa Hai Asingekaa kusubutu Kugombea maana Anajua nini ngempata endapa angecheza na Kazi ya Serekali
 
Maadam ni Watanzania na wana vigezo vya kugombea sioni hoja ya kwanini wasigombee. Kuna watu wajinga na wapumbavu wanaoamini wao ni bora kuliko wengine. Watu hawa sio hawastahili kuishi bali hata makaburi yao hayatakiwi kuonekana milele!
Sio Bora Unaangalia Ufanisi wa Kazi kama Mwananchi Unaitaji kuangalia viongozi wako wanafanya kazi Kama inavyopaswa... Ukweli Ni kwamba Ukiongozwa Na Diva Na Wewe ni Timamu waakili Ni kwamba Elimu unayo Ndogo Hivyo Tu Simple A sheep haezi muongoza Owner wake
 
Diva kuongoza au la inategemea na wapiga kura wake. Kama wakimchagua, kosa lake linakuwa wapi?
 
Ndg. Mleta uzi, kila mtanzania anayo haki ya kuchagua na kuchaguliwa kwa mujibu wa katiba yetu. Kama wewe humpendi au huwapendi watu fulani basi ni wewe lakini haki wanapewa na katiba na kutokugombea kwa vigezo vyovyote vile wanapewa na katiba.
 
Ikiwa watachaguliwa na wananchi sio tatizo.

BTW hata wewe unaruhusiwa kugombea
 
Ulitaka hadi nani agombee ndio ujue kuna thamani?.Sifa za mtu kugombea ubunge zinajulikana na wenye sifa wameamua kutumia haki yao takikatiba kufanya hivyo.Nyie bado hamjajua siasa ni kitu gani,wenye kujua wacha waendelee kuneemeka kwasababu hilo ndio kusudi la wanasiasa wote duniani.
 
Na wazee wa pale kijitonyama wametulia tuu....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sikiliza acha kuwa kiazi, unamfahamu Heche au unaelezwa habari zake na Wassira au yule mlevi aliyekuwa Ukonga na 2020 akapewa na magu ubunge wa Tarime?
Uwezo wa Heche kamuulize yeyote Mkoa wa Mara na hasa jimboni Tarime utaambiwa. Hata Magu na ubabe wake wote alikuwa anamgwaya Heche.
Huyo Levo alikuwa upinzani gani wa maana? Yaani udiwani wa ACT aka ccm b tena kigoma ambako umaarufu unapata kwa ubishi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…