figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Hatimaye yule mchezaji mwenye mapafu ya Mbwa na mbwembwe nyingi amesaini katika timu bora kabisa ya Chelsea kwa Mkataba mnono wa Miaka Mitano.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya kweli?Huyu c ndyo alifel vipimo
Juz au had ulaya nako
Rushwa inatembea kama
Kawa kwa madoctor
[Color= yellow]Triple A[/color]
Bullshit Costa aende zake hatumhitaji,Chelsea mnafanya kosa kumuacha Costa...yule jamaa pamoja na utovu wa nidham alonao...ni goal getter mzuri sana...
toka!!.Chelsea mnafanya kosa kumuacha Costa...yule jamaa pamoja na utovu wa nidham alonao...ni goal getter mzuri sana...
Mkuu hiyo signature yako nimecheka sana, pogba wa tz[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]Bullshit Costa aende zake hatumhitaji,
Pogba wa tz nchi imekushinda!