Hatimaye Tiemoué Bakayoko asaini Chelsea

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906

Hatimaye yule mchezaji mwenye mapafu ya Mbwa na mbwembwe nyingi amesaini katika timu bora kabisa ya Chelsea kwa Mkataba mnono wa Miaka Mitano.
 
Kalibu sana bakayoka

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Huyu c ndyo alifel vipimo
Juz au had ulaya nako
Rushwa inatembea kama
Kawa kwa madoctor

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Chelsea mnafanya kosa kumuacha Costa...yule jamaa pamoja na utovu wa nidham alonao...ni goal getter mzuri sana...
 
Huyu c ndyo alifel vipimo
Juz au had ulaya nako
Rushwa inatembea kama
Kawa kwa madoctor

[Color= yellow]Triple A[/color]
Ya kweli?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Chelsea mnafanya kosa kumuacha Costa...yule jamaa pamoja na utovu wa nidham alonao...ni goal getter mzuri sana...
Bullshit Costa aende zake hatumhitaji,

Pogba wa tz nchi imekushinda!
 
Bullshit Costa aende zake hatumhitaji,

Pogba wa tz nchi imekushinda!
Mkuu hiyo signature yako nimecheka sana, pogba wa tz[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]

Post sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
 
Haya sisi tunamtaka matic...!! Tukutane ligi ikianza!!

Kwa taarifa fupi tumeshapiga mtu 5-1!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…