Hatimaye Trump kuiangalia sheria ya talaka ambayo imekuwa ikiwatesa wanaume

Yaaan mi nnasubur mabunge ya nchi za kiafrika watakavyo jiona matabula lasa. Yaani haiwezekan kuwa wanapitisha feacal laws bila kujua huko waliko zikopi zmewaletea madhara kias gan. Yaan watu waliopitisha au waliokuwa wanaunga mkono hiyo sheria ni nusu ya kusapoti mapenz ya jinsia moja.Na inawezekana mwasisi wake alijuwa nusu mtu nusu shetani au 💯 alkuwa pepo mchafu.
 
Kwani wanaoteswa na hiyo sheria ni wamarekani pekee? Hata Bongo si ni hivyo hivyo
 
Wamarekani wa buza na tandale kwa mtogole wanatoa maoni sasa
 
HUyu bwana ukiachana na upuuzi wake ila ana mawazo na maamuzi chanya! Ikiwa kabla ya kuoana kila mmoja alikuwa na mali yake basi sheria itambue mali hizo si mali za ubia na kwamba mali itakayokua ya pamoja ni ile iliyopatikana baada ya kuoana. Pia sababu za kudai talaka ikiwa hazina mashiko basi mdai talaka ndiye anapaswa kutoa sehemu ya mali yake isiyo jumuishi ili kuchangia uchakavu kwa mdaiwa talaka.
 
Hapo atakua amegusa kilio cha wanaume wengi sana wa America wanaoteseka na kusita kufanya maamuzi ya kuachana!
Nakumbuka kesi ya yule DK yule mke ananukuliwa akisema yeye ndio kaamua kumwacha mume lkn uyo uyo anataka nyumba ya DK akitafuta msaada wa kisheria apa TRAMP kapiga penyewe na huu ni ukombozi sio tu kwa wanaume ata kwa Wanawake wenyewe tabia zao za kudai talaka wataacha nao watabaki na waume wao adi kufa kwao.
 
Hapa bongo nasikia kwenye interview za walimu zinazoendelea
Kipaumbele kwenye ajira ni
1st.... Walemavu
2nd.... Wanawake.

Kwahiyo Sasa mambo ya gender na siyo uwezo na ufanisi ndo vipaumbele. Tutakuja kukumbuka tukiwa tumechelewa.
 
Kwa hapa Tanzania mgawanyo hutegemea mchango wa kila mwanandoa kwenye upatikanaji wa hizo mali.
 
Nadhani issue ya Pep Guardiola imemuumiza sana, unaachwa Kwa kuwa busy kutengeneza mpunga, ambao anataka kuchota nusu, na nyumba kakutoa mbio anakula na bwana mwingine.

Kwa hili trump Niko na wewe, Mali wapewe reasonably.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…