tracy wa NJIRO
Member
- Feb 14, 2012
- 71
- 8
unataka kujipromoti? Udsm ndo jamvi la kila kitu,sema siasa za jk ndo zinakirudisha nyuma. No publication,kila mtu amegeuka mchakachuaji ndo maana kimeshuka anga za kimataifa. Sijasoma udsm ila i salute watu wanaotoka pale. Ni miaka ya karibuni ndo kuna watu ambao ni pepa oriented.
Mhhhh, UDSM kufutwa au undergraduate programs ndio zinafutwa UDSM?
SAUTI ndio hao bado hawajapewa mkopo? Wakati UD sasa hivi watu wapo kwenye ATM? Ud kitabaki kuwa juu tu. Kwa vigezo vingi.
pole sana mkuu kwa kukosa chance hiyo..
hasa kwa mambo yakuomba hela ya mikopo na migomo isiyokuwa na umuhimu wakati mwingine ndio itabakia kuwa juu ila kwa elimu jaribuni tena baadae..