Hatimaye udsm kufutwa

Nipo ATM hapa MIST-NAKULA BOOM LANGU TU.
Wapi Sauti, st augustine wamewakumbuka nyie?
Big up SUA atleast mpo kwenye top 100 za vyuo africa,
 
Hoja hapa ni kujadili ubora wa vyuo au?Nawashauri mpate nafas ya kusoma kla chuo ndo uxeme chuo gan bora au la!Uchuo kikuu umeingia jamvin unaleta mkanyko 2jihadharin!
 
kama mpango huo upo utakuwa ni long plan na pengine usitekelezeke kabisa,mkuu unapotoka kulinganisha udsm na saut wakati watu wenyewe hata hawajitambui na hasa wanapoogopa hata haki zao za msingi.hv kama kashindwa kujitetea mwenyewe atamsaidia nani?
 
Wanataka futa halafu wabakize vyuo vya kata? Mbona ndo 2tashuhudia vpji vipya zaidi kwny bongo flava?
 


Kaka uko mwaka mwaka wa ngapi hapo SAUT?au ndo unategemea kujiunga nacho?
 
nashndwa kumuelewa km alichoandika anamaanisha kwel?au ndo kupost kwa pozi
 

st.agustine???
 
Sauti................. Ndo nn? Wanafunzi hayajitambui,maoga kudai haki ka bumu n.k usilinganishe udsm na sauti kwa level zote
 
mods jf mmeiacha imekuwa kama facebook? Watoto wapumbavu wamejaa humu, sina hamu tena na JF.
:yawn:
 
Huyu jamaa angetafta namna nyingine ya kupga promo SAUT huwez compare SAUT na UDSM hata kidogo.
 
Ni strategic plans ambazo utekelezaji ni 20yeras to come
 
Labda kufutwa kwa baadhi ya prgm za undergrad lakini sio rahisi kwa zote kufutwa, mfano wanafunzi wa engineering utawapeleka wapi, itahitaji miaka mingi sana kuweza kufanya maandalizi na kuwatoa pale.
 
huyu tracy wa njiro atakuwa na matatizo si bure,yule waziri aliyekuhonga gari ndo kakueleza hayo...st agustine ni nn by th way,degree za kisanii tupu,nyie mtashindana kina KIU
 
mods jf mmeiacha imekuwa kama facebook? Watoto wapumbavu wamejaa humu, sina hamu tena na JF.
:yawn:

piga ban watoto hawa warudi facebook,jane 000,tracy wa njiro
 
Ungesema SUA sawa,saut hawaifikii even IFM hata chembe,
 

we mgonjwa.!!
 


Hiyo programu ipo tayari toka muda mrefu, na si undergraduate zote zitafutwa, kwa mfano Law watabaki na fani zingine ambazo vyuo vingine haviwezi kutoa zitaendelea kutolewa pale.

My take: Kufananisha Udsm na St. Augustine ni sawa na kufananisha Mbingu na Ardhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…