Hatimaye UK wamefanya yao baada ya kutusubiri tuchague baina yao na Tanzania

Hahahaha, dunia kweli inazunguka. Kweli Kenya inaweza kumuacha bwana mkubwa wake Mungu/Mzungu anayemlamba mat*ko na kuikumbatia Tanzania?, kweli njaa ni kiboko.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Mbona mnalia mnalia?
 
Duh umeongea kwa uchungu Sana.
 
Yaani Sisi tuko hivi,ukitupiga ngumi moja,Sisi tunakupiga mangumi,mateke na mahedi double double,hatutaki ujinga😎😎😎
 
Yaani sisi ndio tunaumia kwa sababu ya kuwa na jirani mjinga namna hii. Hio ban tuliopigwa na UK ni kwa sababu sisi ni jirani na nchi kaidi.
Do you know that Kenya is in group of failed states??
Do you know what does it mean???

It is because you don't have decisions as a free nation,you have got to be influenced to decide..
 
They are always been told do's and don'ts. & they never question it.
Do you know that Kenya is in group of failed states??
Do you know what does it mean???

It is because you don't have decisions as a free nation,you have got to be influenced to decide..
musipoandika lugha ya kueleweka munapungukiwa na nini???
 
In Tanzania we call it ukiwaga sukuma namwaga ugali ukizuia raia wa Tz sisi tunafanya kitu kikubwa zaidi yako ili kuweka seriousness Tz is like heaven to Kenya so don't estimate our contributions
 
Kwanza nitoe pongezi kwa serikali ya kenya kwa uamuzi wa kuto tekeleza agizo la UK hii ndio inaonyeaha maana ya Taifa Huru lkn vilevile hawa Uk hawana jipya sasa ivi ukitazama nchi kama Rwanda ime comply taratibu zote za covid 19 yaan Kagame ametekeleza kila alilo ambiwa na Wazungu cha ajabu wame mdumbukiza ktk red list hii ndio kudhihirisha ya kuwa KUNA MCHEZO MCHAFU NYUMA YA UGONJWA HUU WA UVICO.

Burundi tangu amefariki raisi wao Nkurunzinza, Pre.Ndayshimeye amejitahidi ku comply taratibu zote za covid 19 lkn wame mdumbukiza ktk Red list.

Sasa kwa ndugu zetu wa Kenya, hapa majuzi raia wengi wankenya wame onyesha wazi wazi kuchoshwa na lockdown na cerfew na wengine pia wame kataa kidungwaa simdano za chanjo. Binafsi huwa siwaelewi lkn ndio hivyo nawaachia wenye taifa lao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…