brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
Daaah aisee hawa watoto wawili Tunda na Selena wanafanana vitu vingi sana kuanzia style yao ya maisha, aina ya wapenzi waliokuwa nao hapo awali, tabia ya kupenda kula kula ,uvaaji ,sura, na vitu vingine kama hivyo
Huyu ni Selena Gomez
Huyu ni Tunda