brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
Hata hivyo huyo Selena nimempendelea sana hamfikii kwa sura Tunda hata kidogo labda idadi ya followers na mafanikioem acheni kumfananisha serena na watu wa kinondoni[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mahaba nipoteze, niadimike kama pesa kwenye mzunguko
same bitch.z but different LEVEL[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Hata hivyo huyo Selena nimempendelea sana hamfikii kwa sura Tunda hata kidogo labda idadi ya followers na mafanikio
We jamaa,hebu acha kumfananisha Tunda na vijitu vya hovyo.Hata hivyo huyo Selena nimempendelea sana hamfikii kwa sura Tunda hata kidogo labda idadi ya followers na mafanikio
Usipende kutukana watu pasi na sababu ya msingi si uungwana hata kidogo , alafu vile vile ni dalili ya uoga ukiweza nitukane tukiwa ana kwa ana ntakuona bonge la shujaadogo utakuwa choko wewe si bure
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23], Mkuu samsun upoo??We jamaa,hebu acha kumfananisha Tunda na vijitu vya hovyo.
Umelipwa shillingi ngapi kufamfanyia promotion huyu mtoto?. Au ni ushamba wako tu, au ugeni wa Jiji?Daaah aisee hawa watoto wawili Tunda na Selena wanafanana vitu vingi sana kuanzia style yao ya maisha, aina ya wapenzi waliokuwa nao hapo awali, tabia ya kupenda kula kula ,uvaaji ,sura, na vitu vingine kama hivyo
View attachment 403702 Huyu ni Selena Gomez
View attachment 403704Huyu ni Tunda
View attachment 403705
View attachment 403706
View attachment 403708
View attachment 403709
View attachment 403710
View attachment 403711
View attachment 403712
View attachment 403713
View attachment 403714
yaah mimi ni mgeni wa jiji, ila wewe unaonekana hata haujui celebrities forum inatumikajeUmelipwa shillingi ngapi kufamfanyia promotion huyu mtoto?. Au ni ushamba wako tu, au ugeni wa Jiji?
Ukisikia shobo ndio hizo siku zote dawa ya shobo dole pita kimya kimya kama sisi kama mada hauja ridhika nayoUmelipwa shillingi ngapi kufamfanyia promotion huyu mtoto?. Au ni ushamba wako tu, au ugeni wa Jiji?
Hah ha aa aah aahhah aa h ,hamna bhana wana msingizia tuNgoja na mimi nitafute hela nende kwa Tunda maana naskia ni wakala mzuri wa Tigopesa.
Nashukuru mkuu kwa kumnyoosha huyoUkisikia shobo ndio hizo siku zote dawa ya shobo dole pita kimya kimya kama sisi kama mada hauja ridhika nayo